Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Long time sana asee natumaini uko poa. Hapo sawa sasa. Ila sijuagi uliwaza nn kushabikia Chelsea 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si ukakimbia kwenywe kile kijiwe cha sel….
Ya Chelsea yalienda na TuchelπŸ˜‚
 
Toa statistics otherwise hujui mpira
Jamaa kanishangaza kweli inaonekana hafuatilii trend ya soka. Yaani utopolo Ujerumani hii ya sasa ikaifunge Brazil? Jamaa anaota sio bure au anadandia na kufuatilia mpira kwa msimu.
 
Reactions: Lee
Yani toka elfu mbili na ushee nashabikia brazil enzi hizo kina kaka,kina Rivaldo,kina carlos tevez,kina ronaldinho,kina wengii kwa kipindi tofauti tofauti. Ronaldo de Lima alikua na sura personal lakini tulikuwepoo. [emoji38]
Ronaldo de Assis Moreira "Ronaldinho Gaucho" Mwamba alikuwa na uwezo wa kubadili tabasamu lake likaonekana bora kuliko goli alilofunga.

Binafsi nilijikuta nashabikia Brazil kwa influence yake leo hii napata ghadhabu sana litimu limebaki na wavulana wasiojitambua.

Takataka
 
Sasa kamati ya roho mbaya tunakuchawia. Nilikua napiga utabiri atabeba Argentina ila sasa upepo umegeuka. Habebi kombe
 
Dominika ya Leo huko Agerntina imetumika kuombea Messi na Agentina wafanye vizuri kwenye kombe la dunia

Mimi napenda mpira ila messi alinifanya niupende zaidi mpira

Mungu hatukupangii ila tunaomba bahati iwe upande wa Agentina

Naamini pia Pope Fransis leo huko Rome katika misa ya St Peters ameiombea heri Agentina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…