Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Long time sana asee natumaini uko poa. Hapo sawa sasa. Ila sijuagi uliwaza nn kushabikia Chelsea 🤣🤣
😂😂😂😂 si ukakimbia kwenywe kile kijiwe cha sel….
Ya Chelsea yalienda na Tuchel😂
 
Mkuu Poker umsanza kufukua makaburi tena
images (10).jpeg
 
Yani toka elfu mbili na ushee nashabikia brazil enzi hizo kina kaka,kina Rivaldo,kina carlos tevez,kina ronaldinho,kina wengii kwa kipindi tofauti tofauti. Ronaldo de Lima alikua na sura personal lakini tulikuwepoo. [emoji38]
Ronaldo de Assis Moreira "Ronaldinho Gaucho" Mwamba alikuwa na uwezo wa kubadili tabasamu lake likaonekana bora kuliko goli alilofunga.

Binafsi nilijikuta nashabikia Brazil kwa influence yake leo hii napata ghadhabu sana litimu limebaki na wavulana wasiojitambua.

Takataka
_20221120_124801.JPG
 
Mungu wasaidie Argentina wabebe kombe tusijekosa ushahidi wa kukieleza kizazi kijacho kuwa Lionel Messi ndio mchezaji bora kuwai kutokea katika hii sayari ilihali Hana hata kombe moja la Dunia... Japo kwa wakati huu tu simama na Argentina simama na Messi tunafahamu Wana uwezo wa kuchukua kombe kutokana na ubora wa kikosi Chao shida mpira una tuvitu vitu Sana ndio Maana tunakuomba usimame nao
Sasa kamati ya roho mbaya tunakuchawia. Nilikua napiga utabiri atabeba Argentina ila sasa upepo umegeuka. Habebi kombe
 
Dominika ya Leo huko Agerntina imetumika kuombea Messi na Agentina wafanye vizuri kwenye kombe la dunia

Mimi napenda mpira ila messi alinifanya niupende zaidi mpira

Mungu hatukupangii ila tunaomba bahati iwe upande wa Agentina

Naamini pia Pope Fransis leo huko Rome katika misa ya St Peters ameiombea heri Agentina
 
Back
Top Bottom