Umerudi Mr. Goose...bata weweHellooo Dogs..
Tukutane saa nne.
Timu Brazil nimekaa kuleee
Mech yake na korea inabid ashinde thn mwisho anamaliza na uruguay.Ghana wako vizur tatizo Ni kundi walilopangwa nataman sana wangepangwa kundi la Senegal wangefika mbali.
Mbuzi wa maskini hazai. Hii tukio alilofanya kipa wa Portugal ilikuwa Ghana wasawazishe. Jamaa kateleza kwa bahati mbaya tu.Kwa Africa Ghana wapo vzr japo wengi waliwadharau. Leo ni makosa ya kocha na sub zake za kijinga zimegharimu timu.
Umemuona ronado alivyotoa macho πKakosa goal kizembe hapo mwisho
Nimekasirika Ronaldo kutolewa mapemaUmemuona ronado alivyotoa macho [emoji38]
Ronaldo umri umeenda. Akubali tu hana tena ile kasi ya zamani.Umemuona ronado alivyotoa macho π
Kudos ni mtu kazi zaidi ya mandongaSema atleast Ghana wame changamsha kuliko timu zetu nyingine... Kudos
Oohh kumbe nilifikir yupo kundi moja Na Brazil, bas nafas ya kutoboa ipoMech yake na korea inabid ashinde thn mwisho anamaliza na uruguay.
Hana muda WA kupotezaUgawaji wa kadi wa huyu refa unafurahisha sana, yani filimbi inalia tayari kadi ipo mkononi[emoji1].