United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Kocha wao Hana akili yule kamuazisha Bruno,joa Felix na bernado, timu ilikosa balance afu anamuacha nje Rafel leaoPamoja na yote Ghana wamejitahidi, bora wao wamevunja mwiko wa magoli kwa Africa.
Sasa tunaiombea Brazil ... #teambrazil#