Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Daaaah ndo vile tena sisi wa Taifa teule ngoja tusikilize kwny redio..eti wanatangaza kwa redio TBC taifa 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
Mbona hawako serious hivyo 🤣🤣
 
Kocha wao Hana akili yule kamuazisha Bruno,joa Felix na bernado, timu ilikosa balance afu anamuacha nje Rafel leao
Tumsamehe tu, nafikiri atakuwa kaona makosa yake, mechi ijayo na South Korea kutakuwa na mabadiliko makubwa. Bado nina imani na Black Stars.
 
Wamecheza vzr sana.. Kocha wa Ghana kafanya blunder sana zile sub nilikua namsikilizia hapa Asamoah Gyan studio anasema hakuelewa kwnn kocha alifny sub mda ule wkt kuna presha na team ndo imetoka tu kusawazisha Yan kocha kafanya tactical blunder kubwa sana.
Huyo Gyan atulie tuliii, yeye kasahau kama alianza kushangilia goli kabla mpira haujaingia kimiani wakati ule anapiga penati vs Uruguay
 
Mabishoo tunaingia sasa nyie wazee vikongwe kaeni pemben muone pira samba pira Brazilian hair,pira amazon,pira sex [emoji1054][emoji1054][emoji1054]
IMG-20221124-WA0349.jpg
 
Back
Top Bottom