Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii game ilikuwa ni ya kusisimua sana, so far Ghana imeonyesha uhai kati ya team zote za Africa.
Wamecheza vzr sana.. Kocha wa Ghana kafanya blunder sana zile sub nilikua namsikilizia hapa Asamoah Gyan studio anasema hakuelewa kwnn kocha alifny sub mda ule wkt kuna presha na team ndo imetoka tu kusawazisha Yan kocha kafanya tactical blunder kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…