Bora hawa kuliko waliofungwa Saudi.Hawachomoki kwa england, ufaransa daddekkk
Umeliona Timbwili la Korea na Uruguay? Ghana wameshatoka.Oohh kumbe nilifikir yupo kundi moja Na Brazil, bas nafas ya kutoboa ipo
Muhimu hapo ni point 3Mi nimepata amani na furaha at least gape la magoli sio kubwa
Kwa uruguay wakaze... Maana walisha tolewaga robo fainali 2010Mech yake na korea inabid ashinde thn mwisho anamaliza na uruguay.
Mbona hawako serious hivyo π€£π€£Daaaah ndo vile tena sisi wa Taifa teule ngoja tusikilize kwny redio..eti wanatangaza kwa redio TBC taifa π π π π π π π π π π π
Tumsamehe tu, nafikiri atakuwa kaona makosa yake, mechi ijayo na South Korea kutakuwa na mabadiliko makubwa. Bado nina imani na Black Stars.Kocha wao Hana akili yule kamuazisha Bruno,joa Felix na bernado, timu ilikosa balance afu anamuacha nje Rafel leao
Silvaaa wanguu ππNasbr kuwaona hawa wa Brazil wana nini na wao. View attachment 2426542
Kwenye hilo kundi lao, hawa Portugal ndio walikua team dhaifu zaidi. Kwa wakorea, Portugala mwenyewe haponi, labda apate draw!Oohh kumbe nilifikir yupo kundi moja Na Brazil, bas nafas ya kutoboa ipo
SamahaniniUtafanana na yule jamaa aliyetaka kuwapa 100k Cameroon
Seems like today VAR is not working πIlikua Ghana wapewe penati pale ila ndio vile
Huyo Gyan atulie tuliii, yeye kasahau kama alianza kushangilia goli kabla mpira haujaingia kimiani wakati ule anapiga penati vs UruguayWamecheza vzr sana.. Kocha wa Ghana kafanya blunder sana zile sub nilikua namsikilizia hapa Asamoah Gyan studio anasema hakuelewa kwnn kocha alifny sub mda ule wkt kuna presha na team ndo imetoka tu kusawazisha Yan kocha kafanya tactical blunder kubwa sana.
Sure. Itakua vzr sana lolote linawezekanaYeah kund bado lipo wazi. Hpo tuombe mech inayofuata ghana ashinde hlf ureno na uruguay watoke draw. Ili mechi za mwisho ziamue
Woyoooooo..Mabishoo tunaingia sasa nyie wazee vikongwe kaeni pemben muone pira samba pira Brazilian hair,pira amazon,pira sex [emoji1054][emoji1054][emoji1054]View attachment 2426558
No hakuna haja ya kumchukia asamoah gyan alishatubu makosa yakeHuyo Gyan atulie tuliii, yeye kasahau kama alianza kushangilia goli kabla mpira haujaingia kimiani wakati ule anapiga penati vs Uruguay
Hawa wavulana na haya mapozi yao khaaaMabishoo tunaingia sasa nyie wazee vikongwe kaeni pemben muone pira samba pira Brazilian hair,pira amazon,pira sex [emoji1054][emoji1054][emoji1054]View attachment 2426558
Tuache wenye timu tuvimbee π π πHawa wavulana na haya mapozi yao khaaa