New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Kocha ni matraacallWamecheza vzr sana.. Kocha wa Ghana kafanya blunder sana zile sub nilikua namsikilizia hapa Asamoah Gyan studio anasema hakuelewa kwnn kocha alifny sub mda ule wkt kuna presha na team ndo imetoka tu kusawazisha Yan kocha kafanya tactical blunder kubwa sana.