ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kumbe wengi mmeliona lipuuzi kweli kila kitu Ronaldo so stupidHuyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe wengi mmeliona lipuuzi kweli kila kitu Ronaldo so stupidHuyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Weee vinii ni motrooo ww sio rahis kumkwepaMi sio Brazil ila Vinii jr anataka kuharibu plan zangu za kua neutral
Ww mbwa upoGhana wakirudisha goli niiteni mbwa nimekaa siti ya nyuma
Hz habari za wamefungwa lakini wamejitahid ni Non senseHongera kwa Ghana,wamefungwa lakini [emoji91] wameupeka kisawa sawa
Wee unataka kufa kabla ya siku zako🤣🤣🤣🤣Ila mpira wa miguu ni presha sana khaa. Yani leo mapigo ya moyo yamekuwa juu kisa timu za Afrika
Mpira wa siku hizi ndo uko hivo. Ukiangalia ligi nyingi za ulaya kuna penati za ajabu ajabu tuInsta weng tumesema lile ni goli la mchongo alopewa ronaldo
Sio brazil hii ya Kina ViniciusBrazil wakizubaa tu Dustan vhalovic lazima awapige kamba
Huyu mtangazaji w TBC ana mahaba mazito na CR7 lol mpk ameboa sio kwa sifa hizo
Hamna beki paleIla ureno hawafiki mbali na cr7 wao
Wana mtoto wao anacheza juve anaitwa dusan vlahovic analijua goli uyo kama Cr7Jamani hawa serbia sio wakubeza...hii timu wachezaji wamekuwa pamoja toka u20 so tusiwachukulie poa.
Anyways time to sambaaa bbyyyyy
Yah wanazingua sana wangeanza kucheza kama mwishoni wangeeza pata kituTatizo la timu za afrika Ni mentality ya kutafuta sare, hakuna timu isiyofungika
Iko redioni nasikiaTbc wataonyesha hii mechi ya brazil?