Kocha ni matraacallWamecheza vzr sana.. Kocha wa Ghana kafanya blunder sana zile sub nilikua namsikilizia hapa Asamoah Gyan studio anasema hakuelewa kwnn kocha alifny sub mda ule wkt kuna presha na team ndo imetoka tu kusawazisha Yan kocha kafanya tactical blunder kubwa sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sina deni na Ghana licha ya kufungwa. Mechi ingeisha sare kama si ushindi.
Sengerema of the match ni kocha wa Ghana
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeanza kusoma heeeeee nilikuwa nakula nimepaliwa [emoji38]
Haki tena ....Ahaahah Anatakiwa apambane sana sio habari za HakiAnyways its fine...ndo mpira. Kama ni haki ghana kupita atapita tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kocha amebet jamani zii uongoKocha ni matraacall
WivuuPiga hayooooooo mavaaa hereni na lineymar laooooo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana wataonyesha mechi ya mwisho ya Brazil vs CameroonTbc wataonyesha hii mechi ya brazil?
Yeah sure bottock kabisaKocha ni matraacall
Mkuu Endelea kuotaBrazil hatoboi kwa Serbia, tuko hapa mtaniambia
Tbc wataonyesha hii mechi ya brazil?
Miaka af tatu[emoji3059][emoji7]Neymer watuuuuuu [emoji3589][emoji7]View attachment 2426615
Itakua, umbwa sana yuleKocha amebet jamani zii uongo