πππ ni kweli ndiyo,ila nsmtahadharisha huyo mdau,awe makini sana,asije akaanza kuzama PM za watu,akijua ni wadada wote.πππππ mwandiko hatufanani hata siku moja
Leo nimebeti ila nimeambulia za uso! Hi world cup ni konyo!
we jamaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ghana anaweza kupita makundi ila sio wale wenye miili ya kitumwa Cameroon nayatamani kweli niyateke yakanilimie huku nayacharaza viboko.
Baraka Mpenja alikuwa huyoHivi TBC hawawezi kumtoa huyu mtangazaji
Ungefata mkeka wangu ungeambulia chochote kituLeo nimebeti ila nimeambulia za uso! Hi world cup ni konyo!
Dah!Li Neymar da Silva Santos Jr linaonekana ni litamu [emoji39]
Tall white and handsome π€ͺLi Neymar da Silva Santos Jr linaonekana ni litamu π
Ronaldo nampa voteMbona unataka kuanzisha ligi mkuu
Kuhusu messi tumwache pale juu namba moja
Wengine mtawapanga
Mbwa tumeshawachoka sasa bora waitwe mashoga tuKuwa makini mdomo uliponza kichwa
Vumilia maisha ndivyo yalivyoKocha wa ghana popote alipo ***** zake watu wako onfire ndio wametoka kusawazisha goli unawatoa apo apo sub ya kudus imeniuma sana yani unamtoa mtu aliyekuwa anasbabisha mabeki wa pembeni wasipande kwa kumuofia ony in africa hii ndio sub kama izi zinatokea.
Halafu wengine wana msikiliza Baraka Mpenja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Peter Drury....
Nilikasirika sana. Kudus ni tegemeo kwa Ajax.. aiseeKocha wa ghana popote alipo ***** zake watu wako onfire ndio wametoka kusawazisha goli unawatoa apo apo sub ya kudus imeniuma sana yani unamtoa mtu aliyekuwa anasbabisha mabeki wa pembeni wasipande kwa kumuofia ony in africa hii ndio sub kama izi zinatokea.