Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kocha wa ghana popote alipo ***** zake watu wako onfire ndio wametoka kusawazisha goli unawatoa apo apo sub ya kudus imeniuma sana yani unamtoa mtu aliyekuwa anasbabisha mabeki wa pembeni wasipande kwa kumuofia ony in africa hii ndio sub kama izi zinatokea.
Vumilia maisha ndivyo yalivyo
 
Kocha wa ghana popote alipo ***** zake watu wako onfire ndio wametoka kusawazisha goli unawatoa apo apo sub ya kudus imeniuma sana yani unamtoa mtu aliyekuwa anasbabisha mabeki wa pembeni wasipande kwa kumuofia ony in africa hii ndio sub kama izi zinatokea.
Nilikasirika sana. Kudus ni tegemeo kwa Ajax.. aisee
 
Back
Top Bottom