Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Afu hawa si ndo wanasifika kwa uchawi

Na miaka yote wamekuwa washiriki tu kwenye hii michuano, lakini hata kufika robo sidhani kama walishawahi
Wamewahi mara moja enzi za okocha
 
Naoana timu yangu Iran amuizungumzi kabisa Sisi furaha yetu ni Kumfunga marekani

ata tukifungwa na team nyingine Aina noma lakni sio Marekani na England atuwezi kukubari tutarusha bom uwanjani kombe liishe.
 
Kama ni mechi itakuwa saa moja usiku sawa na 16.00 GMT
Doha na Dar wanatumia time zone, hivyo haya mashindani yatarushwa kwenye the same time na huku kwetu
Ni sawa, mechi saa 1 ila sherehe za ufunguzi zitaanza saa 11
 
WANAOTABILIWA SANA KUTWAA WC NI
1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY

Na underdogs wa WC Mwaka huu ambao wasipokaa kitaalamu wataondoka bila point ni
1.QATAR
2.IRAN
3.SAUDI

Timu kutoka Africa inayoweza kufika hatua ya mtoano ni SENEGAL PEKEE

Kombe la Dunia mwaka huu ni kama nafasi ya pekee kwa Messi kukamilisha sifa yake kama Mchezaji bora wa dunia ashindwe mwenyewe tu , sema Brazil wamependelewa😀😀
 
Naoana timu yangu Iran amuizungumzi kabisa Sisi furaha yetu ni Kumfunga marekani

ata tukifungwa na team nyingine Aina noma lakni sio Marekani na England atuwezi kukubari tutarusha bom uwanjani kombe liishe.
Iran uyo ni underdog tu wa kuwapatia watu point kwenye group lao B wapo ENGLAND,US,IRAN na WALES

England ataongoza nafasi ya kwanza US ya pili na ya tatu ni IRAN na nne ni WALES , irani atapigwa na US , Sema atamkazia Wales
 
Iran usichukurie pow mkuu kati ya USA na England kunamoja atakaa tuko apa
 
Brazil wanatimu kali sana na group simple sana watafika ata fainali ila kuna vijana mule hawajitambui wakileta utoto tena safari hii watazngua sana aswa yule dogo neema uwa ana utoto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…