Brazil kawa kibubu?Brazil wanaruka ruka tu wakati watu tumeweka hela
Brazil atachapika watu hamtaaminiSinaga huo muda... ninataka timu yangu ishinde that's it..yani mimi ni mbrazili pyuaaa
Mtajua Wenyewe, Si tunasubiri Mkandwe KwanzaPlayer ratings HT zinaonyesha neymar ame underperfom kuliko wenzie
Mipira muhimu 18 imepotelea miguun mwake kizembe kwasababu ya kutaka kucheza na jukwaa
Aangalie ushind wa timu kwanzaView attachment 2426698View attachment 2426699
Mungu aepushie mbali ikiwa tia maji tia maji basi watoke sareBrazil atachapika watu hamtaamini
Ukiona mtu haesabiwi ujue yuko mbele ya wakwanzaKuna kitu humu hakizungumzwi,
Mbona wengi Hamtaki kuwasifia serbia kwa uwezo wa kuwadhibiti vema Brazil FIRST HALF?[emoji848]
Tutashinda hata moja, Amina mitako in advance...Brazil mkishinda niitea amina mitako[emoji846]
Huyu anapenda jina la Amina kule kwenye timu zetu local alisema tumwite Amina mbinuko... π π πTutashinda hata moja, Amina mitako in advance...
Baba kitu dstv tena supper sport 222Atakuwa anaangalia kupitia TBC
TBC nasikia ilikuwa inaonesha Ghana anaongoza goli 2 bila
Urugwayi ni tia maji tia maji na mbambamba nyingi toka washinde world cup ya kwanza hujiona ni gwiji wa soka!Sahii kabisa,
Angalia leo South Korea alivowapelekea pumzi ya Moto Uruguay mpk uruguay ndie anaepoteza muda afu mpira unaisha Uruguay anashangilia sare[emoji4]
Brazil afunge mapema yakitokea ya kutokea watu wake hawatawaelewa kbs.Kuna kitu humu hakizungumzwi,
Mbona wengi Hamtaki kuwasifia serbia kwa uwezo wa kuwadhibiti vema Brazil FIRST HALF?[emoji848]
Mungu hawezi kuwa wakwako peke yakoMungu aepushie mbali ikiwa tia maji tia maji basi watoke sare
Sahii kabisaBrazil afunge mapema yakitokea ya kutokea watu wake hawatawaelewa kbs.
Hkzo timu hamna ata moja wanafika robo broYani ni shida[emoji16]
Mtani, huyu Amina fake ana shida mahala fulani si bure π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huyu anapenda jina la Amina kule kwenye timu zetu local alisema tumwite Amina mbinuko... π π π
Unaenda wapi? Maana mi nikiswitch naangukia Argentina nako naona kama hapaeleweki...kwny rada zangu kwa mbali ubelgiji..africa senegal sina matumaini labda ghana.. any way zote zikishindwa kuingia robo fainal ntajua ya kuchagua huko huko.Mungu hawezi kuwa wakwako peke yako
Mpira upigwe mwenye haki ya kushinda ashinde, hao kina Neymar nao ni kama ustaa umewazidi wameanza kujisahau
Hivi nilikuambia kuwa nami pia nashabikia Brazil?
Miongoni mwa timu zangu, Brazil ipo ila mimi nachotaka ni kuchukua komnlbe
So Brazil kama nawaona wananichelewesha lazima ni switch
Rodrigo ni sahihi kuingiaUyu Rafnha takataka Bora aingie Rodrigo