FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Heshima kitu cha bure brotherAmina, Embu sogeza mitako yako huku, Kuna kitu natamani kukishika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima kitu cha bure brotherAmina, Embu sogeza mitako yako huku, Kuna kitu natamani kukishika
Rafiki yangu ni katika kuchangamsha tu GengeUtamaliza majina yote rafiki angu daaah nimecheka sana🙂[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pm hutaki kuja mbonambona wajinga tena na mtu akiliwa analiwa hela yake ambayo hakukuomba??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1054][emoji1054][emoji23][emoji23][emoji91] haya Amina Mwenye Chura yake hapo mjini Mwananyamala
Sisahaugi mimi da AminaDepal jifunze kusahau basi na kupotezea
Hata PSG fainal UEFA kawakosesha ubingwa kwa utoto wake na hata mechi ya UEFA iliyopita waliyotolewa na Real Madrid akimleta utoto sana langoni na kuchelewesha mashambulizi mpaka kutolewa.Tatizo lá timu ya Brazil ni Naymar ndiye mharibifu wa timu.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
😍Haya sasa leo tunaanza round 2 ya makundi WC,Senegal lazima amnyoe QATAR leo.Wale wa Tibisii [emoji14], nahisi wataonesha game ya Qatar vs Senegal saa kumi jioni
Aya bhana nililazimishwa tu kusema haikuwa brain yanguSisahaugi mimi da Amina
hao kama mbeya city tuNimeamka nakuta hii aisee safi sanaaa
View attachment 2426822
Hujambo Amina msambwanda 😆 😆 😆hao kama mbeya city tu
KumbeeSouth Korea ipi hiyo? North Korea ndio wanarushaga nyuklia na hawapo WC.
Oya mwanangu acha basi ayo mambo niko chini ya miguu yakoHujambo Amina msambwanda [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ata kulaumu game ya UEFA final mbape clear chance anampa NuerHata PSG fainal UEFA kawakosesha ubingwa kwa utoto wake na hata mechi ya UEFA iliyopita waliyotolewa na Real Madrid akimleta utoto sana langoni na kuchelewesha mashambulizi mpaka kutolewa.
Haaaa! 2004 unaona mbali? Watu wanakumbukumbu za WC ya 1994 na CAN ya 94Jf ina wahengaa
Mim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibayaAta kulaumu game ya UEFA final mbape clear chance anampa Nuer
Unamlaumu vipi Neymar?
Game na Madrid kachoma Dounaruma unamlaumu.vipi Neymar?
Ubaya mmekalili kuwa Neymar vyenga so timu ikizungua ni neymar
Izo ni mentality za wabongo ila EUROPE
Wanajua impact ya Neymar uwanjani ndo maana hutoona ney Anawekwa bechi ata azingue vipi