Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hapana, kwa nini?Ninafaa kuwa mchambuzi ?Nikaombe kazi Wasafi sport arena.Wewe ni mchambuzi wa mpira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, kwa nini?Ninafaa kuwa mchambuzi ?Nikaombe kazi Wasafi sport arena.Wewe ni mchambuzi wa mpira?
Ndio mkuu unafaa kua mchambuzi. Wa mchicha na matembele so wahi shishifood ukaombe kaziHapana, kwa nini?Ninafaa kuwa mchambuzi ?Nikaombe kazi Wasafi sport arena.
Kashastafu kitambo tuSo hachezi national team team tena?
Charistiasiss kama sikosei aliyefunga goli la lala salama 1-0 dhidi ya Portugal tena goli la kichwa na Jamaa lirefu kama nini [emoji23]Mwaka 2004 Ureno ikiwa na akina Figo, Deco nk kwenye UERO ya moto kweli. Kocha Scolari aliiamua kumtoa Figo wakati ndio alikuwa star hatari na timu inatafuta goli la ushindi. Baada ya kutoka dk 5 Ureno wakapata Goli.
Ubingwa ulienda kwa Greece [emoji1112] kwa kumtandika Portugal [emoji1201].
Ile Ugiriki sitoisahau kamwe.
Tatizo lá timu ya Brazil ni Naymar ndiye mharibifu wa timu.Hawa Brazil hamna kitu. Wakikutana na Japon,hawatoboi. Mpaka sasa Saud Arabia ndo team iliyocheza vizuri kwa kweli.
AsanteKashastafu kitambo tu
Ulionaeee?. Jobless kabisa anaharibu sana mipira na uchoyo mwingi.Najua ni mchezaji mzuri hata akiwa Barcelona ila kwa Leo kuna mambo ya kibinafsi alifanya na kukosesha team magoli flan .
Umepata savana za mpwayungu village nn maana Leo uko motroooTeam Brazil 🇧🇷
The Selecao...
True Yellow & Green
Samba boyz
💛💚
Ganhamos 2 a 0.Umepata savana za mpwayungu village nn maana Leo uko motrooo
Mbona za Mpwayungu 🤣🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Nakadori Brazil ninaipenda na nina mahaba nayo, hata kuielezea siwezi.Umepata savana za mpwayungu village nn maana Leo uko motrooo
HaaaaaaaaaLiverpool wana habari yake UEFA
Kazi ipo!Unamaana gani unaposema Mahali?
Takataka kabisa ile,Neymar kacheza vizuri jamaa walikua wagumu kufunguka nyuma wew huoni goli la kwanza limeanzia mguni mwake Neymar ndio mchezaji Bora wa Brazil
Itakuwa unaangalia mashindano mengine tofauti na yetu mkuuHawa Brazil hamna kitu. Wakikutana na Japon,hawatoboi. Mpaka sasa Saud Arabia ndo team iliyocheza vizuri kwa kweli.