Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hata mie hivyo aisee
Madrid huwa anajiamini sana Kuna wakat mpaka Sub huwa anagomea anataman aendelee kukiwasha tu Ila Brazili naona Ni taofauti kidgo sijui kwakuwa anacheza Na mastaa wengi?

Ila bado umri mdogo atakuja kutisha Sana timu YA taifa mbeleni kipindi hichi Neymar hayupo.
 
Huyu kjn kwnn sijui htak kucheza sometimes mpr direct kwn hamuoni Vini alivo direct asee.. Sometimes Neymar anawakosesha wenzake kupata magoal mda mwng yy anaangaika na chenga tu kila sehem.. Vini anapiga chenga za maana yuko direct na mpr wake

Kweli kabisa
 
Baada ya neymar kutoka tunaona Brazil inavotawala Sasa hapo mbele[emoji4]
Mwaka 2004 Ureno ikiwa na akina Figo, Deco nk kwenye UERO ya moto kweli. Kocha Scolari aliiamua kumtoa Figo wakati ndio alikuwa star hatari na timu inatafuta goli la ushindi. Baada ya kutoka dk 5 Ureno wakapata Goli.
Ubingwa ulienda kwa Greece [emoji1112] kwa kumtandika Portugal [emoji1201].
Ile Ugiriki sitoisahau kamwe.
 
Jf ina wahengaa
 
Hivi asamoah amestaafu mpira huko Ghana au? Maana naona anachambua hapa
 
Back
Top Bottom