Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huyo mjinga alikuwa anapaka paka rangi mpira bila jamaa kujiongeza kumpokonya wasingefunga bao hiliGoli la Brazil.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mjinga alikuwa anapaka paka rangi mpira bila jamaa kujiongeza kumpokonya wasingefunga bao hiliGoli la Brazil.
Hata sahv pass ya kupress Moja anadribble kipumbavuAnazingua Sana yaani pale Vinicius asingeingilia Kati kwa kupiga shuti Neymar nahis alikuwa anawaza aguswe aanguke chini kutafuta penalty
South Korea ipi hiyo? North Korea ndio wanarushaga nyuklia na hawapo WC.South korea akichukua ubingwa....wataachia fataki moja la nyuklia kama shangwe...litakapoangukia tutajua badae
[emoji1]South Korea ipi hiyo? North Korea ndio wanarushaga nyuklia na hawapo WC.
Mpambanaji kinoma,hana uchoyoHuyu cheusii wa Brazil anajituma hataree
Goli raha jaman haijalishi ni ndondo kapu au world cupVijamaaa vinasgangilia kama vimebeba kombe
Ndio huwa ana i cost timuHivi hakuna wa kumshauri Neymar ?. Haya ni mashindano muhimu.
Sakho ndio maarufu Africa yote inajuaImepigwa Mayele syle
Jamaa sijui anaogopwa,,anacheza kama hataki villeHivi hakuna wa kumshauri Neymar ?. Haya ni mashindano muhimu.
Afu yule yuleKu....ma ma.....maee la 2