Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Afu huyo naye katokea wapi?Sakho ndio maarufu Africa yote inajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu huyo naye katokea wapi?Sakho ndio maarufu Africa yote inajua
Akiwa Madrid binafsi namuona tishio Sana kuliko timu YA taifa.Huyu VJr Akiwa Madrid Simkubali Kama Navyomkubari Akiwa Kwa Timu ya Nchi yake, Amefanya Kazi Kubwa Sana .
Anakuaga na utoto mwingi, huku kishagonga 30... anaboa muda mwingine.Hivi hakuna wa kumshauri Neymar ?. Haya ni mashindano muhimu.
Neymar Kapumzike tu. Manjonjo Yamezidi.
Sa tutamshauri vipi kama hashauriki?Hivi hakuna wa kumshauri Neymar ?. Haya ni mashindano muhimu.
Goli kama la Sakho mzeeGoli la 2 la Brazil.
Afu yule yul
Hawa Serbia lazima wapigwe kingineAfu yule yule
Hata mie hivyo aiseeAkiwa Madrid binafsi namuona tishio Sana kuliko timu YA taifa.
Huyu kjn kwnn sijui htak kucheza sometimes mpr direct kwn hamuoni Vini alivo direct asee.. Sometimes Neymar anawakosesha wenzake kupata magoal mda mwng yy anaangaika na chenga tu kila sehem.. Vini anapiga chenga za maana yuko direct na mpr wakeNeymar akue Sasa, apunguze ubishoo.
Yametosha banaHawa Serbia lazima wapigwe kingine
Brazil wakikamata mpira lazima unafika goliniYametosha bana
Siunajua Mi ni Moja wa Hater wa Madrid, Kwaiyo Kule ni lazima tu Nisimkubari.Akiwa Madrid binafsi namuona tishio Sana kuliko timu YA taifa.
Dogo Ni mpumbav Sana[emoji3525]Hivi hakuna wa kumshauri Neymar ?. Haya ni mashindano muhimu.