Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mwaka 2004 Ureno ikiwa na akina Figo, Deco nk kwenye UERO ya moto kweli. Kocha Scolari aliiamua kumtoa Figo wakati ndio alikuwa star hatari na timu inatafuta goli la ushindi. Baada ya kutoka dk 5 Ureno wakapata Goli.
Ubingwa ulienda kwa Greece [emoji1112] kwa kumtandika Portugal [emoji1201].
Ile Ugiriki sitoisahau kamwe.
Charistiasiss kama sikosei aliyefunga goli la lala salama 1-0 dhidi ya Portugal tena goli la kichwa na Jamaa lirefu kama nini [emoji23]
 
Man of the match
jembenijembe~p~ClW5cViNijW~1.jpg
jembenijembe~p~ClW5cViNijW~3.jpg
jembenijembe~p~ClW5cViNijW~2.jpg
 
Back
Top Bottom