Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Utamaliza majina yote rafiki angu daaah nimecheka sanaπŸ™‚[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Rafiki yangu ni katika kuchangamsha tu Genge
 
Haya sasa leo tunaanza round 2 ya makundi WC,Senegal lazima amnyoe QATAR leo.Wale wa Tibisii [emoji14], nahisi wataonesha game ya Qatar vs Senegal saa kumi jioni
 
Hata PSG fainal UEFA kawakosesha ubingwa kwa utoto wake na hata mechi ya UEFA iliyopita waliyotolewa na Real Madrid akimleta utoto sana langoni na kuchelewesha mashambulizi mpaka kutolewa.
Ata kulaumu game ya UEFA final mbape clear chance anampa Nuer

Unamlaumu vipi Neymar?

Game na Madrid kachoma Dounaruma unamlaumu.vipi Neymar?

Ubaya mmekalili kuwa Neymar vyenga so timu ikizungua ni neymar

Izo ni mentality za wabongo ila EUROPE

Wanajua impact ya Neymar uwanjani ndo maana hutoona ney Anawekwa bechi ata azingue vipi
 
Mim mwenyewe watu nawashangaa Neymar ndio uchezaji wake sjui wameanza kumuona Leo Ata akiwa Santos na Barcelona alikua anakaa na mpira mguuni na Neymar mpira mguuni mwake hakuna wakumnyanga labda upige kiatu tu jana kafanya kazi yakupnguza ngome kutokea katika ya uwanja hadi wachezaji wawili walipigwa kadi za njano ila nashangaa watu wanakwambia Neymar kacheza vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…