France na German hawafiki hata robo fainali tupo hapaWANAOTABILIWA SANA KUTWAA WC NI
1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY
Na underdogs wa WC Mwaka huu ambao wasipokaa kitaalamu wataondoka bila point ni
1.QATAR
2.IRAN
3.SAUDI
Timu kutoka Africa inayoweza kufika hatua ya mtoano ni SENEGAL PEKEE
Kombe la Dunia mwaka huu ni kama nafasi ya pekee kwa Messi kukamilisha sifa yake kama Mchezaji bora wa dunia ashindwe mwenyewe tu , sema Brazil wamependelewa[emoji3][emoji3]
Aaah wap hapo ni Wales na England ndo wanasonga mbeleIran uyo ni underdog tu wa kuwapatia watu point kwenye group lao B wapo ENGLAND,US,IRAN na WALES
England ataongoza nafasi ya kwanza US ya pili na ya tatu ni IRAN na nne ni WALES , irani atapigwa na US , Sema atamkazia Wales
kwa America ya kusini ni Argentina tu ndo nawapa nafasi kubwa, hao Argentina wakikutana na Brazil wabrazil huwa wanaminywa pumbu mpaka wanasema walipoficha hela.Sio kwa mwaka huu. Brazil ipo vizuri sana na wana uwezo wa kufika mbali na hata fainali
🤣🤣🤣🤣 Mwee ila anamihelaYani toka elfu mbili na ushee nashabikia brazil enzi hizo kina kaka,kina Rivaldo,kina Roberto carlos,kina ronaldinho,kina wengii kwa kipindi tofauti tofauti. Ronaldo de Lima alikua na sura personal lakini tulikuwepoo. 😆
We kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sanaBrazil wanatimu kali sana na group simple sana watafika ata fainali ila kuna vijana mule hawajitambui wakileta utoto tena safari hii watazngua sana aswa yule dogo neema uwa ana utoto sana
Umemsahau GhanaNigeria hajawahi vuka 16 bora
Africa ni Senegal na Cameroon tuu ndio walifika robo toka tournament zianzishwe
Hii sasa roho mbayaKocha wa Ufaransa, Didier Deschamps amesema hatomuita mchezaji yoyote kuziba nafasi ya Karim Benzema.
Atasalia na wachezaji wake wale wale hivyo hakuna nafasi kwa Anthony Martial.
Hapa mgumu serbia....cameruunnn jibonde wa groupWe kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana
Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote
BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON
Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni
Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon
Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland
Sent using Jamii Forums mobile app
Why? Sababu?Mimi nawapa nafasi Argentina ya Lionel Messi kutwaa ubingwa
Copa America ya mwisho uliangalia walipokutana?kwa America ya kusini ni Argentina tu ndo nawapa nafasi kubwa.hao Argentina wakikutana na Brazil wabrazil huwa wanaminywa pumbu mpaka wanasema walipoficha hela.