Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

WANAOTABILIWA SANA KUTWAA WC NI
1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY

Na underdogs wa WC Mwaka huu ambao wasipokaa kitaalamu wataondoka bila point ni
1.QATAR
2.IRAN
3.SAUDI

Timu kutoka Africa inayoweza kufika hatua ya mtoano ni SENEGAL PEKEE

Kombe la Dunia mwaka huu ni kama nafasi ya pekee kwa Messi kukamilisha sifa yake kama Mchezaji bora wa dunia ashindwe mwenyewe tu , sema Brazil wamependelewa[emoji3][emoji3]
France na German hawafiki hata robo fainali tupo hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran uyo ni underdog tu wa kuwapatia watu point kwenye group lao B wapo ENGLAND,US,IRAN na WALES

England ataongoza nafasi ya kwanza US ya pili na ya tatu ni IRAN na nne ni WALES , irani atapigwa na US , Sema atamkazia Wales
Aaah wap hapo ni Wales na England ndo wanasonga mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa mwaka huu. Brazil ipo vizuri sana na wana uwezo wa kufika mbali na hata fainali
kwa America ya kusini ni Argentina tu ndo nawapa nafasi kubwa, hao Argentina wakikutana na Brazil wabrazil huwa wanaminywa pumbu mpaka wanasema walipoficha hela.
 
Yani toka elfu mbili na ushee nashabikia brazil enzi hizo kina kaka,kina Rivaldo,kina Roberto carlos,kina ronaldinho,kina wengii kwa kipindi tofauti tofauti. Ronaldo de Lima alikua na sura personal lakini tulikuwepoo. 😆
🤣🤣🤣🤣 Mwee ila anamihela
 
Brazil wanatimu kali sana na group simple sana watafika ata fainali ila kuna vijana mule hawajitambui wakileta utoto tena safari hii watazngua sana aswa yule dogo neema uwa ana utoto sana
We kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana

Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote

BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON

Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni

Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon

Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We kweli hujui mpira Eti kundi la brazil ni simple sana

Sasa kwa wanaojua mpira lile ndo kundi gumu kuliko makundi yote

BRAZIL
SERBIA
SWITZERLAND
CAMEROON

Hapa kwenye hili kundi brazil atakutana na ugumu kwa serbia na switzerland ni team ndogo lakini zimekua kisoka sana siku za hv karibuni

Hapo team ambayo inaweza toka bila point ni Cameroon

Brazil ana kazi ya ziada kwa serbia na switzerland


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mgumu serbia....cameruunnn jibonde wa group
 
Rais Kagame wa Rwanda ameshawasili Qatar tayari kabisa kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia hapo baadae.
A53016D5-73A7-49A6-A7ED-7A3B2B154956.jpeg
 
Rais George Oping Weah wa Liberia pia ni miongoni mwa viongozi wa juu kutoka Afrika watakaohudhuria sherehe za ufunguzi.

Safari hyo ya Rais George Weah ambaye ni mshindi wa tuzo ya Ballon D'or mwaka 1995 imekosolewa vikali na wananchi wake wa Liberia.
 
kwa America ya kusini ni Argentina tu ndo nawapa nafasi kubwa.hao Argentina wakikutana na Brazil wabrazil huwa wanaminywa pumbu mpaka wanasema walipoficha hela.
Copa America ya mwisho uliangalia walipokutana?
 
Following lack of serious commitment and determination, repeatedly mistakes, poor performance and of course bad fortunate on their side I revoke being a Brazilian fan and declare myself a new Argentinian supporter until the former resume their dominance in football
 
Back
Top Bottom