Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Saudi Arabia wanapenda sana mpira na nimachizi wa mpira na endapo watafuzu hatua za mtoano wameahidiwa private jet kila mchezaji. Sasa hapa bongo diamond amenunua rolls Royce used tunamuona kama mwana mfalme [emoji1787]
Mmh ya kweli haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…