Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa medy ana ng'ang'nia mpr wa nn falaa kwl.. Hta upoteze mda vp saiv wataongeza tu
UleteChuma
Ndo hapo sasa.Dakika za nyongeza zitakuwa 12Sasa medy ana ng'ang'nia mpr wa nn falaa kwl.. Hta upoteze mda vp saiv wataongeza tu
KweliMmh ya kweli haya
Senegal ndo imekuwa ya hovyo hivi?
Ndio hali halisi Saudi Arabia hela wanayo sana na ukizingatia private jet za wachezaji wote zinaeza cost 200ml mpaka 400ml usd. Kwao sio kitu alimradi wamefurahi na wanajua vizazi vijavyo vitakuja kuwa wanasoka maridadi.Mmh ya kweli haya
Watasababisha watu wafie uwanjani aiseKweli
Nimeona speech ya huyo Mkuu wao wa nchi.
Jamaa hawana Mbambamba..
Watacheza kufa na kupona wawafunge Poland.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ushasikia watu wakitangaza timu zao hapo ni wao na sisi wakifungwa wanaanza kuongelea maisha ya wachezaji wala sio mpira tena...Nmesikia hapa mtangazaji mmoja anasema Qatar wapigwe tu
Mchambuzi hatakiwi kua na ushabiki
Kabisa mkuu,hawaeleweki kabisa namna wanavyo cheza.Senegal bora ilikuwa ile ya 2002 tu ya kina kamara
Hii ya sasa ni bahati imekuwa ikiwatembelea