Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Brazil wanatimu kali sana na group simple sana watafika ata fainali ila kuna vijana mule hawajitambui wakileta utoto tena safari hii watazngua sana aswa yule dogo neema uwa ana utoto sana
Sio Neymar tu Kuna Vinicius Jr hata Richarlison utoto mwingi sana.
 
France anaishia group stage ,hii ni laana ya world cup winner ....

Kawaulize German ,Spain baada ya kuchukua world cup .....
Benzema, Kante, Pogba, hawapo, iko kazi
Hao wachezaji ndio walikuwa key katika ubingwa wa 2018
 
UTABIRI WA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA...

Baada ya kusikiliza na kufuatilia wachambuzi wa soccer wakubwa duniani wa kwenye media kama BBC, SKYSPORT wakitabiri matokeo ya kombe la dunia mwaka huu Qatar nimekuja na hitimisho kama ifuatavyo

Timu zinatabiriwa kuchukua kombe la dunia ni πŸ‘‡

1.BRAZIL
2.ARGENTINA
3.FRANCE
4.GERMANY

Kiukweli πŸ˜€πŸ˜€kwa kikosi walichonacho Brazil chenye world class players washindwe wao tu maana wapo kundi rahisi sana tena zaidi ya kundi la Argentina na ndo maana wanapewa nafasi kubwa kutwaa kombe la dunia mwaka huu , wakifuatiwa na Argentina ambao nao wapo kundi zuri sana na ndo muda wa Messi kuthibitisha ni mchezaji bora wa dunia.

Timu zinazoweza kumaliza hatua ya makundi kwa kushinda mechi zote ni πŸ‘‡

1.Brazil
2.Argentina

Timu ambazo ni dhaifu na wanaweza kuondoka bila point au na point 1 na watu watajipigia mi naziita underdogs πŸ‘‡

1.Iran
2.Saudi Arabia
3.Qatar

Timu Kutoka Africa ambayo ni pekee itafika hatua ya makundi ni πŸ‘‡

1. SENEGAL

Wafungaji Bora wa Kombe la Dunia ni πŸ‘‡

1.Messi
2.Neymar
3.Mbappe

Na napenda kuwapa matokeo ya mechi za kadhaa tu za hatua ya makundi

1. Belgium vs Canada
Atashinda Belgium

2.Brazil vs Serbia
Atashinda Brazil

3.Portugal vs Ghana
Atashinda Portugal

4.Senegal vs Netherlands
Atashinda Netherlands

5.England vs Iran
Atashinda England

6.Argentina na Saudi Arabia
Atashinda Argentina

7.France vs Australia
Atashinda France

8.Spain vs Costa Rica
Atashinda Spain
 
Luis Enrique:
"If Busquets was the extension of Del Bosque in the field, what is yours?

Ferran Torres is mine,
if not my daughter cuts my head off”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…