vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
PokerAtakaye tabiri mfungaji wa goli la kwanza mechi ya Ecuador vs Holland atapata zawadi ya vocha 5000/=
N.B ukumbuke kunitag kabla ya saa moja jioni.View attachment 2427331View attachment 2427330
Usiponitag utakuwa umekosea masharti. Vigezo na masharti kuzingatiwa!
Unga kuzidi maji huwa sio case sana, swala la kufedhehesha ni Maji kuzidi unga.Wadachi leo unga utazidi maji
Nimeanza elewa kwanin man u wanamtaka huyu bwana mdogo Gapko bonge moja mgoli
Uhuni ni tofauti na Ukibaka..., Yaani huu ndio utani watu wanaowatania Scousers kwamba hata ukienda mechi na gari lako angalia matairi yako yasiibiwe...
Umeaanisha kwa hapa bongo?Kwenda na gari uwanjani ni risk
Umeaanisha kwa hapa bongo?
Ecuador Leo kakutana na nyangumu anaahahaaa tu
Asilimia kubwa ya wachezaji duniani kote sio watu smart, wengi wapo hivi. Maisha yao yote wanacheza mpira hawapati muda wa kujielimisha.Pumba za Owen namjibu mdau hapo juu anayependa uchambuzi wa Owen....., Pamoja na Sifa ya kuwa Goal Poacher kuongea Pumba pia ni sifa yake Kuu...
Sio kweli.Hata nje
Kama hizo sentens kazisema yeye bas kwel owen pumba nyingiPumba za Owen namjibu mdau hapo juu anayependa uchambuzi wa Owen....., Pamoja na Sifa ya kuwa Goal Poacher kuongea Pumba pia ni sifa yake Kuu...
Kweli kabisa,hata me nimeona hvo. Ukiwa mtu wa kufatilia interview zao ndo utaelewa walivo.Asilimia kubwa ya wachezaji duniani kote sio watu smart, wengi wapo hivi. Maisha yao yote wanacheza mpira hawapati muda wa kujielimisha.
Kuna Clip Grealish hajui ramani ya uingereza.