Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pumba za Owen namjibu mdau hapo juu anayependa uchambuzi wa Owen....., Pamoja na Sifa ya kuwa Goal Poacher kuongea Pumba pia ni sifa yake Kuu...
Asilimia kubwa ya wachezaji duniani kote sio watu smart, wengi wapo hivi. Maisha yao yote wanacheza mpira hawapati muda wa kujielimisha.

Kuna Clip Grealish hajui ramani ya uingereza.
 
Back
Top Bottom