vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Samahan wadau..orange timu gani, blue timu gani maana naona wote weusi tu
Chungwa = Uholanzi.. Blu = EkwadoSamahan wadau..orange timu gani, blue timu gani maana naona wote weusi tu
Tupeane update jaman mbona kimya
SafiiiiiiiDkk 35
Ned 1[emoji460] -0 ecu
Mpira una kasi watu wanapishana
Orange ni hao uholanzi makaburu Dutch wana roho mbaya hao ukipata demu wa kiholanzi mpakie mcongo wana roho mbaya sana haoSamahan wadau..orange timu gani, blue timu gani maana naona wote weusi tu
Goal lina shida gani lilePole yao