Ila jana jamaniiiimbona jana VAR zilikuwa likizo
Kwahiyo kosa ni kumkalia kipa mbele 😹Naam ..
Angekua yuko pembeni kama huyo namba 23 Caicedo basi lingekua goli halali
Kuna mtu eti kashindwa kuunganishaDStv Now anaetaka nimpe email na password tufaidi nafasi ziko 2
Mnatuchanganya mjeu....hamtaki tena tall dark and handsome🤣🤣🤣🤣Ooh babe boyy
Kumbe aliumia sanaaa
Dah kahandsome ketu 😍
😹😹😹 tunataka tall darkMnatuchanganya mjeu....hamtaki tena tall dark and handsome🤣🤣🤣🤣
Wewe kwako umejisajili?Kuna mtu eti kashindwa kuunganisha
Nilimpa kadi no, nikaja tumiwa code, nikampa zile code lkn imemgomea
Kweli siwezi elewa😹😹😹 tunataka tall dark
Hapo hapo tunapenda vitoto light skin
Tulia Mzab, huwezi kuelewa 🤣
Neatherlands akishinda leo, Qatar watakuwa wameondolewa kwenye mashindano ya WC na kuweka historia ya timu mwenyeji kutolewa kwenye mechi ya pili tu
Afrika ya Kusini walitolewa mashindanoni kwenye mechi ya mwisho kwenye mashindano ya WC 2010.
Wewe kwako umejisajili?
Kama bado jarib kujisajili kwanza wewe halafu yeye umpe email na password a-log in tu