Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Huyo mtu aliye karibu na kipa maybe,, ila suala la offside sinaga elimu ya kutosha
Vipi kuhusu offsides ya goli la pili la Ureno dhidi ya Ghana na ile penalty ya mchongo, VAR jana zilikuwa hazifanyi kazi au [emoji848][emoji2960]
 
Hivi ni vigezo gani tunatumia wabongo kutafsiri majina ya nchi za watu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…