Sala tano zinawa keep bize πππKuangalia mpira wa watu wanaojua raha sana sio wale kina al Habib [emoji16] wa qatar
Madam, wewe kaa hapo. Chukua maji makubwa endelea kushushia. Uenjoy futboli.AISEEEEE
Mtajua wenyewe kama Tanzania na zanzibar huko Ila US anawakalisha [emoji41][emoji41]Sisi ni England.. UK utamhusisha na Wales ambaye leo kachabangwa na Iran, utamhusisha na Scotland aliyekosa nafasi.
Tutaje kwa jina letu, England, the Three Lions.
Huyu Iran ana bahati. Tungemlipia kisasi ndugu yetu. Angeloa kumi.
Anyway, your wish is Granted. Tutamchabanga kuanzia tatu.
Why not?Hii mechi kuisha suluhu ni kuwa senegal anatudi home au amfunge ecuador ni kitu ambacho akiingii akilini.
Le Captain wetu Wana Liver anaanziaje nje jamani?Imagine nje unaye:
Phil Foden
Jack Grealish
Marcus Rashford
Jordan Henderson
Erick Dier
Marekani mtatusamehe. Kombe hili pekee ndiyo faraja yetu baada ya kumpoteza malikia
Me nishaanza kusinzia [emoji1787][emoji81]
Game itakuwa na mvuto USA atataka ashinde
Depawiseey stop cheating! π€£
England au sio
England au sio