Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hii mechi kuisha suluhu ni kuwa senegal anatudi home au amfunge ecuador ni kitu ambacho akiingii akilini.
 
Sisi ni England.. UK utamhusisha na Wales ambaye leo kachabangwa na Iran, utamhusisha na Scotland aliyekosa nafasi.

Tutaje kwa jina letu, England, the Three Lions.

Huyu Iran ana bahati. Tungemlipia kisasi ndugu yetu. Angeloa kumi.

Anyway, your wish is Granted. Tutamchabanga kuanzia tatu.
Mtajua wenyewe kama Tanzania na zanzibar huko Ila US anawakalisha [emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom