Mtoto wake anaichezea USAKwani Liberia nayo IPO kombe LA Dunia?
Lbd njaa mkuuUingeleza wanashinda
Cc. Carrasco putinTeam Iran tupo hii ndio team yangu
Kuna timu inafungwa hapoDakika 4 zimeongezwa
Watashinda njaaa wana kelele nyingi Moira zeroooUingeleza wanashinda
Yani ukisikia Africa tuna uzuzu ndio huo yani Rais wa Nchi A halafu mtoto Raia wa Nchi B.Kodi ya wananchi inatumika ipasavyo
Mtoto kazaliwa Marekani kabla baba hajawa RaisYani ukisikia Africa tuna uzuzu ndio huo yani Rais wa Nchi A halafu mtoto Raia wa Nchi B.
Africa tuna laana sio bure
Nasubiri mechi ya Iran Vs USA lazima tuwainamishe mashoga
Utainamishwa weweNasubiri mechi ya Iran Vs USA lazima tuwainamishe mashoga