Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kwani Depal ana support team ipi leo?
Nilisema mwanzo Depal kila timu anayoishabikia inageuka gundu. Alianza na Senegal kaenda Argentina, kaja Germany, jana tu alikuwa ghana. Leo gundu kalihamishia Uingereza 🤣🙌
😹😹😹

Pulisic vs Mason Mount
Ila me sijakaa hapa kushabikia 🤣
Nililala zangu.


Ilaaa nasubiria hiyo 3world war
Irani vs USA
Hapo nitakuwa zangu kwa Pulisic
 
Nasubiri mechi ya Iran Vs USA lazima tuwainamishe mashoga
Hawa hapa
20221122_211605.jpg
 
[emoji81][emoji81][emoji81]

Pulisic vs Mason Mount
Ila me sijakaa hapa kushabikia [emoji1787]
Nililala zangu.


Ilaaa nasubiria hiyo 3world war
Irani vs USA
Hapo nitakuwa zangu kwa Pulisic
Mbona mshindi anajulikana tayari
 
Una kichaa wewe masikini unaeishi Mbagala chamazi na wazazi wako wanaishi uyole.

Huyo mtoto alizaliwa Marekani wakati George weah anacheza mpira ulitaka birth citizenship yake iwe nchi gani Ng'ombe WA Mayele wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom