Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
Leo mexico anapigwa kama ngoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabheja sana dear! ubarikiwe ... umeme sijui utarudi sa ngapi walai!!
Santo sana best!! Ya saa 1 na 4 ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥!!
Kwani game ya England vs Marekani imeishaje?Iran kwetu furaha [emoji91][emoji91]Muda wa kwenda club sasa
genge la wahuni tu
Ebwana iran jana wamepiga ma counter attack ya balaaa dhidi ya wales....hatari kabisa itakuwa bonge la mechi. Ukichanganya na siasa humo ndani acha kabisairan na marekani watatoana roho
Huyo ni mtu wa mapenzi hana hobby na mpira [emoji41][emoji41]Antonnia nimekuita tena uje hapa kwaajili ya updates za kombe la dunia boss lady wangu!
Umepitwa na vocha kule kijiweni kwetu!Huyo ni mtu wa mapenzi hana hobby na mpira [emoji41][emoji41]
0-0Kwani game ya England vs Marekani imeishaje?
Sizitak vocha zenu yolly yolly[emoji7][emoji7] ananipa vocha za kutosha sana viva Iran viva Mexico viva TunisUmepitwa na vocha kule kijiweni kwetu!