Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mcheki pm wa member tena Best yako!Wee polenii! Msiba wa nani??? Doh so sorry!!
Haiwezekani dugu Carrasco putinTutarudisha Tunisia 2 anashinda
Mpira dakika 90Haiwezekani dugu Carrasco putin
Sio kwa Australia lakini kuna uwezekano wakapata la pili baba yori yori!Mpira dakika 90
Siyo mbaya Ila yote kwa yote Mexico ashinde Leo furaha yangu itakuwa poa sana vibe kama loteSio kwa Australia lakini kuna uwezekano wakapata la pili baba yori yori!
Em tuoneHawa jamaa pic yao imeniletea hisia sana
Picha kali sanaTunisia hali ngumu HT wako nyuma goli 1.View attachment 2427910
Acha tu Mpaka sasa sioni timu itakayovuka hii stageBara la Africa nikama tulaana hivi.
Alafu usishangae aliye turoga keshatangulia mbinguni zanani sana, kwasasa ana jinywea zake Kvant taratiibu huku akitucheki tu tunavyo hangaika.
Wenda nikazeeka hivi hivi ama kufa kabisa, kabla hata timu moja kutoka Africa itakayo fika hata nusu fainali ya kumbe la Dunia.
Kuibetia tuniasia ni kujitakia majanga tuu. Hamna timu hapo toka afcon ilionekanaTunisia
Mexico
Ushindi lazima Leo [emoji91][emoji91][emoji91]