England walimkosa mtu mnyumbulifu kama Chama kwenye mechi ya leoWe unaona tofauti ya England na Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]??
Ile timu haikuwa nzuri kama hii ya sasahivi. Ilikuwa na wachezaji wachache (kama hao watatu au wanne)wazuri na hawakuwa na Team work kabisa.Marekani ilikuwa ya kina London Donovan, mwamba Clint Dempsey halafu mbele wana mtu mkubwa sana Jose Altidor.
Ndivyo inavyokuwa ukiwa unaishabikia timu,Aiseee hawa US wanakaba mazee
Yani mshambuliaji akishika mpira wakimfata anaina sehemu salama ni kuurejesha nyuma
Where is Messi 🤣Ila waarabu wa Mecca wamenifurahisha sana
Hivi hapa anasema where is messi au Will Smith?
Hahahahahaa Argentina walibugi sana kuruhusu wafungwe na hawa wazee wa Hijja
View attachment 2427549
Kwani Depal ana support team ipi leo?
😹😹😹Nilisema mwanzo Depal kila timu anayoishabikia inageuka gundu. Alianza na Senegal kaenda Argentina, kaja Germany, jana tu alikuwa ghana. Leo gundu kalihamishia Uingereza 🤣🙌
Hawa hapaNasubiri mechi ya Iran Vs USA lazima tuwainamishe mashoga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mechi ya jasho na damuiran na marekani watatoana roho
Mbona mshindi anajulikana tayari[emoji81][emoji81][emoji81]
Pulisic vs Mason Mount
Ila me sijakaa hapa kushabikia [emoji1787]
Nililala zangu.
Ilaaa nasubiria hiyo 3world war
Irani vs USA
Hapo nitakuwa zangu kwa Pulisic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una kichaa wewe masikini unaeishi Mbagala chamazi na wazazi wako wanaishi uyole.
Huyo mtoto alizaliwa Marekani wakati George weah anacheza mpira ulitaka birth citizenship yake iwe nchi gani Ng'ombe WA Mayele wewe
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app