Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tuendelee Kupunguza Magarasha...,

Ukweli ni kwamba Timu nyingi ni Mediocre.., watu wanajali / wanafurahia / wanajituma zaidi wakiwa wamevaa Uzi wa Timu / Vilabu vyao huku kwenye kuwakilisha nchi wana-turn up tu (tena wanajichunga wasiumie kupoteza ujira wao)... Kuna enzi ilikuwa kuwakilisha taifa lako mtu anahakikisha anajituma kuliko (one chance in a life time)

Sasa Hivi labda wale ambao hawajanunuliwa wanatafuta personal glory na sio kuibeba nchi
 
Huo ndio ukweli wenyewe
 
Acha tu Mpaka sasa sioni timu itakayovuka hii stage

Huwenda miaka ya mbele huko vizazi vyetu

Sema ata sisi waafrika wengi ni wangese wangese tu [emoji1]
Kama hawa Tunisia sehemu ya kupiga shoot ye anatoa pasi
 
Utashangazwa

Spain asikutishe alipiga bomu mochwari akajisifu ameua
ujerumani asipoacha siasa kwenye mpira hatoboi, ajifunze kwa iran baada ya kichapo cha muingereza jana imebidi aimbe nyimbo ya taifa akaachana na siasa karudi mpirani na umeona amepata matokeo

sasa watu wanaziba midomo kwenye picha ndo nini

wapigwe tu
 
Baada ya Qatar, kesho Germany nae anafungasha virago. Hamna namna hawa wafanya siasa kwenye world cup watamfunga Spain. Wakishinda niiteni Kigwangala nipo pale nimekaa
Huu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....

Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
 
Huu Msemo wa Never Write Off the Germans haukusemwa tu watu wajifurahishe, hawa jamaa wameshachukua Kombe, time and again wakiwa na Timu Mbovu na Mpira usiovutia.....

Kuna Kipindi walikuwa wabovu kinoma ila Oliver Kahn akawabeba mpaka Fainali.....
Yah ni kweli kabisa Ujerumani mechi inayofuata watakuwa wakatili mithili ya mbogo aliyejeruhiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…