Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna kasumba kwamba wenyeji mechi ya kwanza huwa hawapotezi je kwa qatar itawezekana
Hawa jamaa wameingia moja kwa moja hivi kikosi cha mashindano kweli wanacho wanakutana na equador wasije kupigwa 7 bila mechi ya ufunguzi 😃
Qatar wametengeneza timu yao kwa almost miaka 10 sasa kujiandaa na kombe la dunia kupitia academy yao ya Aspire

2019 kama unakumbuka walichukua ubingwa wa Asia

Hii World Cup nawapa nafasi angalau ya kufika Round of 16
 
Wanaweza wakafika hatua hiyo. Jumlisha kwamba ni timu mwenyeji, mbeleko lazma ziwepo
 
Dstv wamezindua leo msimu wa kombe la dunia ambapo watarusha kwenye kifurushi cha Compact ambacho ni elfu 56
77B5806B-BC7C-495E-B722-FFC9CFC19C84.jpeg
 
Pogba ameanza mazoezi mepesi, je kocha Didier Deschamps ataweza kumjumuisha kwenye kikosi chake cha Kombe la Dunia? Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom