Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Watashinda tu Allah yupo na Saudi ila leo wamekula nguruwe kilazima daah sahani mbili bila marejesho, wamezembea sana leo
Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.
 
Ni ngumu,maana Mexico nao si wa mchezo.Hili group kila team ina nafasi ya kusonga mbele tena inaonekana kuna watagongana points,magoal yataamua.
Yaan tusubiri tu ila Saudia leo sijui kimewakuta nini yaan, ngoja tuone saa 4 Argentina anavyoenda kutembezewa Moto kwa mara nyingine maana Mexico hawana show Mbovu,
 
Sasa inakuja mechi itakayonipa pressure. Ninatamani nikalale. Mimi team France. Balaa leo.
😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…