Are sure.Hebu nipe utabiri wako wa Saud vs Poland ulikuwaje ?ππππ
Mbona hivyoooo jamani.Wale wa Denmark tujiandae kumpa NDOIGE France.
Hello team France [emoji632]
Ongea kwanza swala la kataa kulalia pua Leo ndo uongee ya MessiLeo messi anaaga mashindano
Girouuuuuddddd atapata magoli tulia kunywa juice kabisaMimi huwa napenda mpira kuangalia ninapokuwa neutral. Ila France wanapocheza huwa naishiwa pozi.
Sasa inakuja mechi itakayonipa pressure. Ninatamani nikalale. Mimi team France. Balaa leo.
Wamexco wameambiwa wakishinda leo wadada wa huko kwao watatembea uchi mexico city....sasa wee huoni hiyo motisha balaaa π€£π€£π€£π€£π€£Ongea kwanza swala la kataa kulalia pua Leo ndo uongee ya Messi
Wale wa Denmark tujiandae kumpa NDOIGE France.
Nikalale tu sasa.Nitaangalia ya usiku Mexico vs Argentina. Maana hiyo sina teamPoint tatu denmark
Team Brazil ila napenda Saudi AsongeWewe itakuwa team Argentina.
Ndo hivyo atokeArgentina atoke tu
Saudi kalishwa nguruwe plate 2 ndio ishatoka hio,Are sure.Hebu nipe utabiri wako wa Saud vs Poland ulikuwaje ?
Argentina atokeNdo hivyo atoke
Hapo nipo na France tu ila Argentina ni 50/50 hawaeleki unaweza ukashangaa kitakachowakuta leo,π«π· na π¦π· ndo team zangu za Leo...
Leo najua raha watatupatia
π¬π¬π¬France 0-1 Denmark[emoji16]
Sasa ww unashabikia team ikishaanza kufunga?? π€£π€£π€£Hapo nipo na France tu ila Argentina ni 50/50 hawaeleki unaweza ukashangaa kitakachowakuta leo,
Usije ukapotea hapa mremboπ«π· na π¦π· ndo team zangu za Leo...
Leo najua raha watatupatia