Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Marekani itashindairan na marekani watatoana roho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marekani itashindairan na marekani watatoana roho
Ee nakwamaKumbe nawe hupendi kula kitimoto na kuja kujitafunia bikra 72 peponi? Daaah unakwama wapi ndugu [emoji848][emoji16]
Shukrani mkuuDownload app inaitwa football live tv uenjoy maisha Kaka
France Vs Brazil
Wakikutana hawa kwenye hii WC, Game itakuwa tamu sana.
Hio Boraaa kaandika nani?
Mechi ya juzi aliumia ankle, taarifa za kitabibu na umbeya ndani yake zinadai jamaa huenda akakosa mechi mbili zijazo.Una maana gani?
Kwa hio ndio akaandika Boraaaa au wabongo?Mechi ya juzi aliumia ankle, taarifa za kitabibu na umbeya ndani yake zinadai jamaa huenda akakosa mechi mbili zijazo.
Leo amepost kwenye account yake ya instagram, picha inaonyesha muonekana wa ankle yake ilivyo kwa sasa
Mexico na France wameshinda leoNani na nani ameshinda leo?
Wa Mehico washatupia mihafarati yao msimu huu lazima wafike mbaliMexico wako moto aisee pira ngada pira madawa ya kulevya linapigwa pira mtutu wa bunduki
Boraaa linatokana na neno embora kwa lugha ya kwao brazil kama nitakuwa sahihi.Kwa hio ndio akaandika Boraaaa au wabongo?