BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kwahiyo umefurahia Neymar kuumia au unafurahia kwamba hajaumia sana atarudi baada ya game 2?Mechi ya juzi aliumia ankle, taarifa za kitabibu na umbeya ndani yake zinadai jamaa huenda akakosa mechi mbili zijazo.
Leo amepost kwenye account yake ya instagram, picha inaonyesha muonekana wa ankle yake ilivyo kwa sasa