Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mechi ya juzi aliumia ankle, taarifa za kitabibu na umbeya ndani yake zinadai jamaa huenda akakosa mechi mbili zijazo.

Leo amepost kwenye account yake ya instagram, picha inaonyesha muonekana wa ankle yake ilivyo kwa sasa
Kwahiyo umefurahia Neymar kuumia au unafurahia kwamba hajaumia sana atarudi baada ya game 2?
 
Kwahiyo umefurahia Neymar kuumia au unafurahia kwamba hajaumia sana atarudi baada ya game 2?
Nimeweka taarifa kwa sababu tupo kwenye special thread inayohusu world cup.

Nimeacha kabisa kushabikia timu za taifa kwa takribani miaka 8.

Hivyo uzima wake au ugonjwa wake hauna taathira yeyote kubwa kwangu
 
Back
Top Bottom