Messi wapande ndege keshoooo,oops wana mechi ya kukamilisha ratiba.Hii game ina pressure kubwa mnoo,
Refa anatakiwa atumie busara kwa kiwango kikubwa,Kila mmoja anataka goli
Aroo argentina anashinda hii gameMessi wapande ndege keshoooo,oops wana mechi ya kukamilisha ratiba.
Ochoa ana okoaKipa wa mexico ana muda hajapigiwa mpira [emoji23]
Halafu yeye huwa anakuwa mahiri kwenye kombe la dunia hata yaliyopitaOchoa ana okoa
Ndoto ambayo messi hatakaa aitimize ni kuchukua world cupArgentina leo Bye bye bye
World Cup ni ya wenyewe
Tulia mkuu acha yadundwe yaende makwaoViungo wa Argentina Sio wanyumbulifu kabisa ndio maana timu haieleweki inavyocheza.
Hesgoal.comlink wadau tafadhari