Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Mpaka Leo mwaka 2022 bado inagonjeka...😂😂German 2018 ilishindwa kuvuka hatua ya Makundi. Ilimaliza kundi ilishika mkia(4)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Leo mwaka 2022 bado inagonjeka...😂😂German 2018 ilishindwa kuvuka hatua ya Makundi. Ilimaliza kundi ilishika mkia(4)
Kama atadroo leo game ijayo atafuzu endapo atamfunga Poland kuanzia goli 3Argintina akidroo hii mechi italeta impact gan??
Haya mataifa makubwa yaliyotamba kwenye soka kwa muda mrefu yanapopata wakati mgumu kama huu ni dalili nzuri sana kwamba soka kwa sasa ni mchezo wa wote na yeyote anaweza kushinda akijipanga vizuri.Argentina [emoji1033] tupeni raha fans wenu basi team kubwa kama hii why mnatuweka roho juu juu?why?
Argentina safari yake inaishia hapa kwenye group stage.
Hata Argentina ni ndugu zetu (wakatoliki wenzetu)Sina chuki na Messi ila nawaombea Saudi Arabia watoboe ni ndugu zetu
Is he still disappointing ?..Messi is disappointing