Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina [emoji1033] tupeni raha fans wenu basi team kubwa kama hii why mnatuweka roho juu juu?why?
Haya mataifa makubwa yaliyotamba kwenye soka kwa muda mrefu yanapopata wakati mgumu kama huu ni dalili nzuri sana kwamba soka kwa sasa ni mchezo wa wote na yeyote anaweza kushinda akijipanga vizuri.
Argentina safari yake inaishia hapa kwenye group stage.
 
[emoji110]
255788117376_status_de83a9cbbb2f472482d018a3fb5e306d.jpg
 
Back
Top Bottom