OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Aise sisi watoto hatuelewi ayo mambo π«π«π«
π€¨π€¨π€¨Burazili anapigwa qota faino
Mkuu tupo na tunasbr j5 kwend kupambana mechi nyngne ya kufa na kupona.. Haters wanaangaika hapa hawaamin na aliye funga nn yy mwnyw bas wamenuna[emoji23]#team Messi wote pigeni kelele!View attachment 2428558
Mtoto kalale mda huu huku jeiefu unafanya nnAise sisi watoto hatuelewi ayo mambo π«π«π«
Watu munasagia kunguni hamutaki kuelewaπ€£π€£π€£π€£Saudi arabia atamfunga Mexico =6 points.
Poland atamfunga Argentina au watatoa draw. 7 au 5 points
Hasta la Vista baby Argentina.
Amejua kuubadili upepoMkuu tupo na tunasbr j5 kwend kupambana mechi nyngne ya kufa na kupona.. Haters wanaangaika hapa hawaamin na aliye funga nn yy mwnyw bas wamenuna[emoji23]
Najaribu kujifunza mambo ya wakubwa ikiwemo mupira πππMtoto kalale mda huu huku jeiefu unafanya nn
Hahaha sasa wee umekubali k haina upande maalum na unajua mie napenda k nakuwaje na upande maalum tena. Mie shabiki bendera timu inayoshinda nipo nayo maana najua uwezekana wa mashabiki wa kike wa timu iliyoshinda kunitunuku mbususu ni kubwaπ
odds zilikuwa ngapi99,000 imeingia kwa hisani ya Messi
Hahah tuache tu tukae km, maadui ze2 wengne wamenuna sana waangaika kama kuku wenye kideri walikua na matokeo yao bas wamenuna sana asee[emoji23] tena swala la Messi kufunga na kutoa Assist ndo limefny wazid kuteseka.Amejua kuubadili upepo
Yule mtu mfupi huwa ana akili sana awapo uwanjani... alipoona wenzake hawasomeki akapiga mshuti huooooooo kutokea mbali
Sub zipo 5Kumbe huyu MTU kaitwa? Tatizo subs nahis chache pia Bora zingeongezwa zifike hata 5
you dont mean thatSaudi arabia atamfunga Mexico =6 points.
Poland atamfunga Argentina au watatoa draw. 7 au 5 points
Hasta la Vista baby Argentina.
Hii ni ya mchongo kama ile nyingine iliyokuwa inasema Argentina anakufa 0:1Dark Web wameshaleta matokeo bye bye kirikuu wa Argentina [emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2428563