Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mkuu tupo na tunasbr j5 kwend kupambana mechi nyngne ya kufa na kupona.. Haters wanaangaika hapa hawaamin na aliye funga nn yy mwnyw bas wamenuna[emoji23]
Amejua kuubadili upepo
Yule mtu mfupi huwa ana akili sana awapo uwanjani... alipoona wenzake hawasomeki akapiga mshuti huooooooo kutokea mbali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndo hvo
Sasa huyu mzabzab ghafla amegeukia upande huu
Alijua kunisema huyuuu
Hahaha sasa wee umekubali k haina upande maalum na unajua mie napenda k nakuwaje na upande maalum tena. Mie shabiki bendera timu inayoshinda nipo nayo maana najua uwezekana wa mashabiki wa kike wa timu iliyoshinda kunitunuku mbususu ni kubwa😜
 
Amejua kuubadili upepo
Yule mtu mfupi huwa ana akili sana awapo uwanjani... alipoona wenzake hawasomeki akapiga mshuti huooooooo kutokea mbali
Hahah tuache tu tukae km, maadui ze2 wengne wamenuna sana waangaika kama kuku wenye kideri walikua na matokeo yao bas wamenuna sana asee[emoji23] tena swala la Messi kufunga na kutoa Assist ndo limefny wazid kuteseka.
 
Dark Web wameshaleta matokeo bye bye kirikuu wa Argentina [emoji119][emoji119][emoji119]
20221127_002230.jpg
 
Back
Top Bottom